Mnamo Jumamosi, Machi 25, Katibu wa Baraza la Mawaziri wa Biashara Moses Kuria alihimiza utawala wa Rais William Ruto kutumia mbinu zinazotumiwa na wakuu wa nchi jirani katika juhudi za kumdhibiti kinara wa Azimio Raila Odinga. Akizungumza katika mahojiano na BBC, Kuria aliwataja Rais wa Uganda Yoweri Museveni na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame, jinsi […]
